Stay tune kwa picha zaidi ya siku hiyo ya ijumaa, hiyo ni ya Pens Down Party at CBE Club na Cine Club
©Mkimya Ent.
Monday, July 30, 2012
Group Memberz tukifurahia keki
tukajigawa wengine tulikua na keki ya group
Lucy na Pendo wakikata keki
Evodia nae hakuwa nyuma kwenye kukata keki
Mduma akimlisha keki Jesca
Jesca nae akimlisha kipande cha keki Mduma
Lucy akilishwa keki na Dennis
Lucy akimlisha keki Dennis
Immanuel akimlisha keki Evodia
Evodia akimlisha keki Immanuel
Mimi nikimlisha keki Catherine
Cathy akinilisha keki
Cathy akimlisha keki baba mchungaji Iddo
Mduma akimlisha keki dada yake Pendo
Immanuel akimlisha keki dada yake Pendo
Kanje akimlisha keki mtu
Cathy huyooo akimlisha keki mtu
Mimi nikimlisha keki mrembo mmoja
Immanuel akimlisha keki Anna wa procurement
Lucy aki-pop champaigne
akigawa kwa baadhi yetu
akimgawia Cathy
Pendo akimnywesha mtoto wa dada yake
picha ya pamoja ya group
hii wanaume tukiwa tumechuchumaa
Lucy na Pendo wakimshika Uncle yangu akiwa ndani ya mama yake "EVODIA"
mmependeza aisee...
mama yake Uncle akimalizia mvinyo
Cathy kaweka poz la kula keki pomoja na Lucy
©Mkimya Ent.
Course nyingine waliomaliza Bachelor CBE
Hawa ni Bachelor in Procurement Boys
Hawa ni Bachelor in Procurement Girlz
Hawa ni Bachelor in Business Administration
©Mkimya Ent.
Siku tuliyo maliza Bachelor, mambo yalikuwa hivi...
BAcc Kutoka kushoto Cathy, Dennis na my couzn Evodia
Lucy (kushoto) akiwa na bonge la tabasamu
utazani hawajatoka kuumia na Contemporary Issuies
kutoka kushoto ni Cathy, Alex, Lucy, Dennis, Couzn Evodia and Mduma
vilaza nao hawakua nyuma katika kuchukua matukio muhimu
hapo kuna George, Edmund na Goodluck
Frank and Mary
©Mkimya Ent.
Ijumaa Asubuhi tukijiaandaa na pepa ya mwisho
hot preparation
Pendo akipitia pitia notes
muda ulikua unaenda mbio sana ila watu wamekomaa na madaftari wengine simu mkononi ili mradi waende sawa na muda
pale kati kijana niko bize
kushoto yupo Carolyne na Mwasumbi sura imejificha, kulia yupo Immanuel karibu na mimi, zen Alex opposite na Carol
makamuzi yanaendelea
©Mkimya Ent.
wakiwa wamesimama nje ya Kanisa
Mato akinong'oneza kitu kwa Ney, otea alikua akimwambia nini ........ sio hivo umekosea ni ......!!!!
©Mkimya Ent.
Subscribe to:
Posts (Atom)