Monday, August 6, 2012

ile show iliyokuwa inasubiliwa kwa sana ndo hii hapaaaaaa!!!

Asubuhi kabla ya pepa watu tukijiandaa

Pendo akipitiapitia kadhaa kabla ya pepa

bize tuu mda hua kila mtu na material yake

watu wakiulizia kama kitu kipo hewani ama...
©Mkimya Ent.