Tuesday, July 31, 2012

Lenny a young female Fashion Designer

hii nguo kai-design na kuishona yeye mwenyewe
©Mkimya Ent.

At Cine Club








©Mkimya Ent.

Matukio mbalimbali yaliyojili Pens Down Party at CBE Club

Nowme and Anna wakiwa katika poz
hapo tulikua ndo tumeingiaingia CBE Club, meza ndo kwanza nyeupe

Lucas akiwa na warembo hapo, ndo kwanza kinywaji cha kwanza vichwa vyeupeeee!!!

nilikua napitapita kuchukua matukio muhimu
namuona Pendo kushoto, hapo kati yupo Evodia na kulia ni mama Careen hapo mtoto kamsahau nyumbaniiii wakilirudi hapo ni kiduku kwenda mbele

Rodney akiwa na Ruthilicious Ruth wakilicheza Kwaito ilibamba sana

kagiza kaliingia si tilukua hatuna habari ni Gambe kwenda mbele
pale kati kaongezeka Rose, namuona Ibra akisalimiana na mdau wa ukweli.
tulichafua meza siku hiyo.

tukila poz kwa ajili ya picha kidogo mauzo muhumu.

ma-hiphop boyz hawakua nyuma... hao ni classmate zangu "BAcc"

anaza classmate wakilicheck kwa mbali kwaito linavyochezwa na vijana wa Bachelor wa course zote

Rais mstaafu wa CBE akiwa kwenye poz zuri na my Couzn Atu

mambo yalizidi kuwa matamu pale napo waona classmate wakicheza pomoja mambo yalikua bamu bamu
hapa CBE club. hao apo ni my shem Cathy Nyau akiwa na Gudluck wakicheza nahisi ni DanceHall

haya sasa ni mwendo wa sebene, namuona Joyce akiwa na rafiki yake wakilirudi SEBENE

anaza classmate ni Aman na Vailet wakicheza Sebene, kili ilibamba watu wameshasahau makabati ya acc. ni mwendo wa kuyarudi mangoma

anaza beautiful moment nikiwa na ma friendz tumeamua kuiacha meza tukanyanyukaa...

hapo hapo hapo hahahahahahahaaaaa ni kiduku style mwanawane.

warembozzzzz wakicheza kwa style ya pamoko hapo ni Kwaito tuuu
kulia ni mama Careen akiwa na beste zake
©Mkimya Ent.