Sunday, July 29, 2012

Mr & Mrs Mato wakionyesha vyeti vyao

hivi ndio vyeti vyetu jamani
©Mkimya Ent.

muda wa pete huoooo



MUNGU zibariki PETE hizi ziwe pingu za maisha yao Amen!
vigelegele rururururururururrrruuuuuuuuruururururuuuuuuuuuuu!!!!!!!

Nehema vaa peti hii iwe pingu ya maisha yetu
watu weweweeeeeeee!!

Mato nakuvalisha pete hiii iwe pingu ya maisha yetu, wakina mama hapo ni shangwe tupu urimi wao unagusagusa lips zao kwa furahaaaa ruruururururururururururururururururururrruuuuuuuuu!!!!

naona vyeti vipo chini yao kwa aajili ya sign zao.
©Mkimya Ent.

Msasani Lutheran Church

Kengele ikipigwa kuashiria jambo (kufunga ndoa) takatifu likiwa tayari kuanza


wakiwa tayari mbele wakimsikiliza mchungaji Hiza akiwapa maneno matakatifu

Matooooo naona meno thelathini na nje yote mbili aaah! sori.... ni meno thelathini na mbili yote nje, chezea kitu cha kuvuta jiko ndani weeeee!!!!


the man himself MATO wakipiga hatua na BestMan wakiwa nda ya Suti maridadi kitu cha Single Button
waling'aa aibuuuuu!!!!!


Aliyependeza kuliko wote huyo ni Nehema akiingia Chach akiwa na matroni wake


Linda na wifi yake Rehema wakipoz kabla ya kuingia chach
©Mkimya Ent.
Huu ndo usafiri uliotumika kubeba Maharusi

©Mkimya Ent.

Mato's Wedding

vijana wakiwa ndani ya NOAH tayari kuelekea Church kushuhudia Kaka yao akila kiapo mbele ya madhabahu

Mkimya mwenyewe nikiwa kimya kama kawaida yangu, hao... hadi chach
kushuhudia kaka yetu akifunga ndoa Msasani Lutheran Church



©Mkimya Ent.