Monday, July 30, 2012

Course nyingine waliomaliza Bachelor CBE

Hawa ni Bachelor in Procurement Boys
Hawa ni Bachelor in Procurement Girlz

Hawa ni Bachelor in Business Administration
©Mkimya Ent.

Siku tuliyo maliza Bachelor, mambo yalikuwa hivi...

BAcc Kutoka kushoto Cathy, Dennis na my couzn Evodia

Lucy (kushoto) akiwa na bonge la tabasamu

utazani hawajatoka kuumia na Contemporary Issuies
kutoka kushoto ni Cathy, Alex, Lucy, Dennis, Couzn Evodia and Mduma

vilaza nao hawakua nyuma katika kuchukua matukio muhimu
hapo kuna George, Edmund na Goodluck

Frank and Mary
©Mkimya Ent.

Ijumaa Asubuhi tukijiaandaa na pepa ya mwisho

hot preparation

Pendo akipitia pitia notes

muda ulikua unaenda mbio sana ila watu wamekomaa na madaftari wengine simu mkononi ili mradi waende sawa na muda




pale kati kijana niko bize
kushoto yupo Carolyne na Mwasumbi sura imejificha, kulia yupo Immanuel karibu na mimi, zen Alex opposite na Carol

makamuzi yanaendelea
©Mkimya Ent.

wakiwa wamesimama nje ya Kanisa

Mato akinong'oneza kitu kwa Ney, otea alikua akimwambia nini ........ sio hivo umekosea ni ......!!!!
©Mkimya Ent.

matukio mbalimbali ya kwenye harusi


kwaya ya familia na marafiki

kwaya ya familia na marafiki
©Mkimya Ent.

Msasani Beach Club ki2 cha RED CARPET nini!
























©Mkimya Ent.

MayFair PhotoPoint

kutoka kushoto ni Samily, God, Sunday, Mimi, George n' Andrew

Samily, God, Sunday, Mimi, George n' Andrew

bepari la kihehe akiwa katikati ya warembo
mmependeza sanaaaaaaaaaa!!!

safiiiii

mmmmhhh!!!!

Bro Alade na dogo Samily
©Mkimya Ent.