Sunday, July 29, 2012

Msasani Lutheran Church

Kengele ikipigwa kuashiria jambo (kufunga ndoa) takatifu likiwa tayari kuanza


wakiwa tayari mbele wakimsikiliza mchungaji Hiza akiwapa maneno matakatifu

Matooooo naona meno thelathini na nje yote mbili aaah! sori.... ni meno thelathini na mbili yote nje, chezea kitu cha kuvuta jiko ndani weeeee!!!!


the man himself MATO wakipiga hatua na BestMan wakiwa nda ya Suti maridadi kitu cha Single Button
waling'aa aibuuuuu!!!!!


Aliyependeza kuliko wote huyo ni Nehema akiingia Chach akiwa na matroni wake


Linda na wifi yake Rehema wakipoz kabla ya kuingia chach
©Mkimya Ent.
Huu ndo usafiri uliotumika kubeba Maharusi

©Mkimya Ent.

Mato's Wedding

vijana wakiwa ndani ya NOAH tayari kuelekea Church kushuhudia Kaka yao akila kiapo mbele ya madhabahu

Mkimya mwenyewe nikiwa kimya kama kawaida yangu, hao... hadi chach
kushuhudia kaka yetu akifunga ndoa Msasani Lutheran Church



©Mkimya Ent.

Monday, April 18, 2011

WAKALI WAWILI WANAO KULA BATA BONGO

mkali wa tanzania anaenyatiwa na tp mazembe

Gangster huwa wanazaliwa na kuonekana mapema tu,product ya mashallah
©Mkimya Ent.

Saturday, April 9, 2011

Young Money Entertainment


Young Money Entertainment is an American record label founded by rapper Lil Wayne. The label is an imprint of Cash Money Records and is distributed by Universal Motown Republic Group. Current acts include Lil Wayne, Drake, Nicki Minaj, Tyga, Mack Maine, Jae Millz, Cory Gunz, Lil Twist, Gudda Gudda, Lil Chuckee, Short Dawg, T-Streets and Shanell aka SnL. The label has released four #1 albums by Lil Wayne, Drake and Nicki Minaj

Artists


Current artists

  • Lil Wayne
  • Drake
  • Mack Maine
  • Nicki Minaj
  • Tyga
  • Gudda Gudda
  • Jae Millz
  • Lil Chuckee
  • Lil Twist
  • T-Streets
  • Short Dawg
  • Cory Gunz
  • Shanell aka SnL
  • Porcelain Black

Former artists

  • Boo
  • Curren$y
  • Kidd Kidd
  • Omarion


© mkimya

Friday, April 8, 2011

full bata @ home

kila nikiikumbuka cku hii natamani ijirudie tena.
ilikua ni full bata mazeeee!!!
mkimya